On April 15-16 this year, TLS held an Annual General Meeting and General Conference in Arusha conducted general elections. In that election, Dr. Edward Hosea was elected TLS President on April 17, 2021, for the 2021/2022 year.
As part of our ongoing media research in Tanzania, Jamii Media analyzed how Twitter was used in that election by two candidates. The first candidates were Dr. Edward Hosea and the other is a director of Business & Human Rights Centre-Tanzania, Ms. Flaviana Charles (223 votes). The choice for the candidate was due to their utmost usage of Twitter.
We collected tweets from both candidates and their support and analyzed for pattern and its spread. Social Media has always been perceived to have an effect on election outcomes. A popular narrative holds that Twitter played a decisive role in both recent American presidential elections and the United Kingdom’s “Brexit” referendum. We summarized our findings and opinion and published them on Twitter.
Uchambuzi mfupi juu ya matumizi ya Twitter katika uchaguzi wa Rais wa TLS – @TanganyikaLaw.
1. Tunatambua kuna wagombea wengine, tumechagua #ChaguaHoseah & #FlavianaForTLS kutokana na wingi wa tweets zake.
2. Uchambuzi huu haulengi kumpigia debe/promo mgombea yoyote. Enjoy! ????— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
Kwa upande wa @Dr_edwardHoseah, kuna # tatu zinazotumika ambazo ni #ChaguaHoseah, #ChaguaHosea na #RaisTLS2021. Watumiaji wakubwa wa # hizi ni pamoja na @yose_hoza, @Kiganyi_ @adamlutta na @ManenoIzaak. pic.twitter.com/qYSF8HQuuL
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
Kwa upande wa @flavianaBahati, watumiaji wake wamekuwa wakitumia #FlavianaForTLS pekee. Watumiaji wakubwa ni pamoja na @IAMartin_, @MariaSTsehai na @LMadeleka. pic.twitter.com/gsHFHA6oyJ
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
VIDEO #2: Jinsi Tweets za #FlavianaForTLS zinavyosambaa na akaunti zipi zina 'influence' zaidi. pic.twitter.com/1IQLwfQzq7
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
Kosa la kimkakati #1: Kila timu inatumia # yake pengine kwa kuhofia kumtangaza mshindani. Hata hivyo, hii maana yake ujumbe wa timu A hauwafikii wale wanaofuatilia timu B hivyo kutengeneza “silo”= mjadala kati ya wale wenye mlengo mmoja. pic.twitter.com/3fBXYxYgaV
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
Tweet ya @imartin yenye #ChaguaHoseah Pamoja na #FlavianaForTLS imefungua tawi jingine la mjadala. pic.twitter.com/Oca7Y90CnF
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
Kosa la kimkakati #2: Japokuwa uchaguzi huu umekuwa maarufu kati ya watumiaji wa Twitter, haujapata 'coverage' kwa vyombo rasmi vya habari (hata kwenye akaunti zao za Twitter). pic.twitter.com/0Chn6ZpgKJ
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021
Lesson; Unapotumia # ni vyema kutumia zile ambazo tayari zipo na zinafuatiliwa na watu unaowataka, kwa kufanya hivyo unaweza kuwafikia wa upande wa pili na tweets zako kuonekana.
— Jamii Media (@JamiiMedia) April 8, 2021